Uongo, uzandiki na takwimu
JE, tuziamini tafiti zenye kutegemea takwimu kutabiri nani atashinda, na kwa kiwango gani, katika uchaguzi? Taasisi zenye kutabiri mambo ya uchaguzi zinajinata kwamba utabiri wao ni tofauti na ule wa...
View ArticleCCM, UKAWA zachuana vikali
Ikiwa zimebakia wiki tatu kufanyika uchaguzi mkuu nchini Tanzania, wasiwasi unaongezeka kuelekea kile kinachoangaliwa kama uchaguzi wenye ushindani mkali zaidi kwenye historia ya nchi hiyo, huku kwa...
View ArticleDk. Shein ajiulize ikiwa anataka kuleta vurugu Z’bar – Prof. Lipumba
Moja ya mafanikio makubwa ya Rais Kikwete ni kuimarisha uhusiano wa Tanzania na mataifa makubwa hususan Marekani na China. Rais Kikwete alifanikisha Tanzania kupata msaada mkubwa wa Millennium...
View ArticleCCM hawaambiani ukweli – Jussa
Tokea Chama cha Mapinduzi (CCM) kupata kipigo cha kihistoria katika Uchaguzi Mkuu wa Zanzibar wa tarehe 25 Oktoba, 2015 ambapo kilizidiwa na Chama cha Wananchi (CUF) kwa kura 25,831 kimekuwa...
View ArticleCUF yatoa sababu 4 kutoshiriki sherehe za Mapinduzi
Tokea yalipofanyika Mapinduzi ya tarehe 12 Januari, 1964, tumekuwa tukiadhimisha tukio hilo kubwa katika historia ya Zanzibar kila mwaka inapofika siku hiyo. Tukio hilo kubwa ndilo lililopelekea...
View ArticleJanuari 12 iwe siku ya kuuelezea mkwamo Z’bar – AZAKI
Tunadhani viongozi wamepata muda wa kutosha kujadiliana na sasa ni imani yetu kuwa wakati umefika kwa viongozi wanaokutana kutoka hadharani ikiwezekana siku ya maadhimisho ya Mapinduzi ya Zanzibar,...
View Article‘Usanii’ wa Zanzibar upigwe marafuku
Kati ya mambo muhimu yanayojadiliwa sana hapa nchini kwa sasa ni “mgogoro wa kisiasa Zanzibar”. Mgogoro huu si wa kwanza kusikika, ni mgogoro wa mwendelezo wa migogoro mingi iliyowahi kutokea huko...
View ArticleSiku ‘ujechajecha’ ulipohamia kwa wasomi wa SUZA
Ikiwa ni takribani miezi mitatu tokea Chama cha Mapinduzi (CCM) visiwani Zanzibar kutuhumiwa kushirikiana na Mwenyekiti wa Tume ya Uchaguzi Zanzibar (ZEC), Jecha Salim Jecha, kuufuta uchaguzi mkuu wa...
View ArticleSeif’s appeal to international community: “Don’t allow CCM to steal election...
This time we appeal to the international community not to allow them to steal the election again. We do not seek any favours, we merely ask for a level playing […]
View ArticleHebu tudurusu ‘ufisadi’ wa Lowassa na ‘usafi’ wa Magufuli
NITAANZA makala yangu ya wiki hii kwa kurejea swali nililoliuliza mwishoni mwa ile ya wiki iliyopita:Je, nakisi ya usafi na kithiri ya ufisadi ni kutokana na nafsi au nafasi? Mtu […]
View ArticleYa zimamoto za Magufuli na uhalisia
Ushabiki unaoendelea kufanywa na wengi wetu kwa makeke yaliyoonyeshwa siku za karibuni na Rais mpya wa Tanzania Pombe Magufuli ni wa kuangalia upande mmoja tu wa sarafu. Lakini kwa maoni […]
View ArticleHivi CCM hasa munachokitaka ni kitu gani?
Mimi nashangazwa sana na Mwenyekiti wa Tume ya Uchaguzi ya Zanzibar (ZEC), Jecha Salum Jecha, na Chama chake cha Mapinduzi (CCM), kwani wamekuwa kama hawajuwi hasa kipi wanachokitaka na kama […]
View Article‘Lolote lisilotokea kwengineko, hutokea Z’bar’
Kwa jicho langu la kisanii natamani sana kadhia ya Uchaguzi wa Marejeo niitungie hadithi fupi. Naamini itakuwa tamu sana na hapana shaka mhusika wake mkuu atakuwa ni Mwenyekiti wa Tume […]
View ArticleJecha anapoendeleza sifa ya Zanzibar kuwa taifa la kuweka na kuvunja rikodi...
Je, unajuwa kuwa Ukristo uliingia kwanza Zanzibar kabla ya kusambaa kwenye maeneo yote ya ndani ya Afrika Mashariki na Kati? Hiyo ilikuwa mwaka 1448. Unakumbuka kuwa jengo la Baitul-Ajab la […]
View ArticlePolice, CCM source of divide in Zanzibar
Controversy surrounding Zanzibar election turmoil is still lingering five decades after independence, but while the end is beyond the horizon lack of unity among the Isles’ people is an obvious […]
View ArticleDk. Shein, bado unayo nafasi ya kuibadilisha hali
Serikali ya awamu ya kwanza ya Zanzibar chini ya Marehemu Mzee Abeid Amani Karume kwa hakika iliakisi kuitwa serikali. Sikuwepo zama hizo, lakini kwa hadithi za waliokuwepo na manung’uniko...
View ArticleHaya madhambi yalijulikana, yakaendelezwa na mifumo mibovu
TANGU Rais wa Jamuhuri ya Muungano ya Tanzania, John Pombe Joseph Magufuli, aingie madarakani yapata miezi mitatu iliyopita, tumeshuhudia hekaheka nyingi zilizosababishwa na hatua alizochukua yeye...
View ArticleDamu ya Habil yalia kutoka ardhini
Ninapoyaona yanayoendelea kutendwa na jeshi letu la polisi dhidi ya raia, natafakari sana, nikikumbuka mengi na kisha najiuliza faida ya yote haya ni nini? Madaraka tu? Matumizi ya nguvu, ubabe, […]
View ArticleUmeya Dar alama nyengine ya udhaifu wa Magufuli
Dk. John Pombe Magufuli amekuja na misamiati kazi miwili. Na yote kwa bahati imepata umaarufu kiasi cha kutosha. Makala hii si ya kupima ukubwa wa umaarufu wake zaidi inakusudia kutizama […]
View Article“Polisi waliniambia watanibaka mbele ya baba yangu mzazi”
Imepita kama miaka mitatu hivi lakini sitakaa nisahau. Siku hiyo nilikwenda kumfuata baba yangu kwenye mkutano wa CHADEMA eneo la Soweto, Arusha. Wakati huo, mimi sina hata kadi ya chama […]
View Article