Tunadhani viongozi wamepata muda wa kutosha kujadiliana na sasa ni imani yetu kuwa wakati umefika kwa viongozi wanaokutana kutoka hadharani ikiwezekana siku ya maadhimisho ya Mapinduzi ya Zanzibar, tena kwa pamoja, na kutoa taarifa fafanuzi inayojibu yafuatayo: Ajenda zao ni zipi? Wamefikia wapi? Wamebakiza wapi? Ni lini watamaliza majadiliano? Lini watatoa tamko la MUAFAKA wa kumaliza mgogoro? TAMKO LA ASASI ZA KIRAIA TANZANIA (AZAKI) KUHUSU …
↧