Quantcast
Browsing latest articles
Browse All 197 View Live

Chini ya muundo huu wa Muungano, michezo ya Z’bar haisongi mbele – Ally Saleh

Mwanamichezo wa siku nyingi ambaye ni mwanasiasa, mshairi na mwandishi wa habari, Ally Saleh, anasema kuwa muundo wa Muungano uliopo unairejesha nyuma Zanzibar kwenye eneo la michezo, ambalo japokuwa...

View Article


Happy Birthday CCM!

Imenichukuwa dakika tano tu hivi hadi kuwaza niandike nini kama sehemu ya zawadi kwa chama changu na marafiki zangu wa chama cha Mapinduzi CCM! Nimeona ni kheri kuandika kwa sababu si wote wenye uwezo...

View Article


Nyerere hakuwa na insafu juu ya Muungano

MARA ya mwanzo kabisa kukutana na Mwalimu Julius Nyerere, uso na macho, ilikuwa 1968 jijini London ndani ya ukumbi mmoja wa hoteli iitwayo Hyde Park Hotel.  Hoteli hiyo iko mkabala wa uwanja wa Hyde...

View Article

JPM ameshinda walau kwa sasa

“LINI?”  Ni swali nililojiuliza, mara kwa mara, tangu Januari 8 mwaka jana kila nilipomsikia Edward Lowassa akitajwa.  Januari 8, 2018, ndiyo siku Lowassa alipopokewa rasmi Ikulu na Rais John Pombe...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Maalim Seif na Jahazi la Nuh

Kinachoendelea hivi sasa katika siasa za Tanzania, kwa ujumla, hasa kwa upande wa Zanzibar katika Chama Cha Wananchi (CUF) kimenifanya nikumbuke tarekhe za visa vya Mitume na kwa muktadha wa makala...

View Article


Maalim Seif, ‘The Terminator’

Kwa wale wapenzi wa filamu ya Hollywood, wataikumbuka filamu maarufu ya The Terminator, ambayo muhusika wake mkuu, Arnold Schwarzenegger, anapambana na maadui zake vya kutosha. Lakini bahati mbaya...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Maalim Seif una mkate gaeni

Leo nimetafuta muda nikasoma kwa kituo taarifa iliyochapishwa hivi karibuni na Shirika la Umoja wa Mataifa linalosimamia tasnia ya ubunifu na uvumbuzi linaloitwa kwa Kiingereza World Intellectual...

View Article
Browsing latest articles
Browse All 197 View Live