Tujihadhari na “watoto wa kambo” wa Hitler
WIKI iliyopita nilipata baruapepe kutoka kwa rafiki yangu mmoja wa Burkina Faso ambaye kwa muda mrefu sasa amekuwa chanda na pete na Blaise Compaoré, Rais wa nchi hiyo aliyepinduliwa kwa […]
View ArticleMjuwe Eddy Riyami
MOHAMED Ahmed Sultan pengine linaweza kuwa jina geni kwa wengi na itakuwa vigumu kufahamika kwa haraka bila kutumia jina lililozoelekea na wengi hapa visiwani Zanzibar. Namzunguzia ‘Eddy Riyami, naam,...
View ArticleFor the sake of peace in the beloved Isles
The ZEC chairman nullified an orderly peaceful election as observed by officials from the US, European Union, Commonwealth, the East African Community and the Southern African Development Community...
View ArticleElectoral economy cannot be a light burden
Four months after holding the General Elections the Zanzibar Revolutionary Government plans to be deciding to hold a re-run for a cost to the tune of whopping 7.5bn Tanzania Shillings […]
View ArticleMsitupotoshe, Magufuli hajatumbua jipu la BoT
Sifa njema ya taasisi hupatikana kwa mambo mengi ambayo huchukuwa muda mrefu hadi kufahamika kwake kuwa ni miongoni mwa taasisi zenye sifa hiyo. Benki Kuu ya Tanzania (BoT) ni taasisi yenye hadhi sana,...
View ArticleWanadhulumu na wanataka washangiliwe
HUWAJE jamii inayolazimishwa iukubali uongo au ihalalishe haramu? Imenibidi nijiulize swali hilo na nilitafakari kutokana na ule uitwao “uchaguzi wa marudio” uliofanywa Zanzibar Jumapili iliyopita,...
View ArticleMgogoro wa Zanzibar kumuumbua Kikwete?
HATIMAYE, Dk. Ali Mohamed Shein ametangazwa kuwa “mshindi wa urais” Zanzibar. Aliapishwa Alhamisi iliyopita, anaandika Mwandishi Wetu. Urais wa Dk. Shein unatokana na kilichoitwa “uchaguzi wa marudio”...
View ArticleMsiwasaidie waovu kuyavunja Maridhiano ya Wazanzibari
Tarehe 5 Novemba 2009 daima itakumbukwa kuwa ni siku ambayo nchi yetu iliandika historia mpya pale viongozi wawili wazalendo na mashujaa, Dk. Amani Abeid Karume na Maalim Seif Sharif Hamad, […]
View ArticleWa Machi 20 ni uchaguzi uliofeli
Katika mfumo wa kidemokrasia, uchaguzi ni utaratibu wa kupata viongozi wa kikatiba wa nchi husika kama yalivyo mahitaji ya katiba ya nchi hiyo. Na kama ilivyo dhana maarufu ya “mahitaji […]
View ArticleUzalendo unaoibuka kwa kufutiwa misaada ni unafiki
Laiti kama haya ya kufutwa kwa awamu ya pili ya msaada wa kimaendeleo wa shirika la misaada la Marekani (MCC) kwa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania yangelitokea kwa Afrika Kusini wakati […]
View ArticleZanzibar: Twataka wizara ya ubabe na tashtiti
NILIONA ni vyema kwenda Zanzibar kuadhimisha sikukuu adhimu ya Pasaka. Matumaini yangu yalikuwa pia kupata wasaa wa kutathmini hali ya hewa baada ya Uchaguzi wa Marejeo uliofanyika tarehe 20 Machi […]
View ArticleKuacha kuijadili MCC ni uhaini
Mjadala juu ya hatua ya Shirika la Misaada la Marekani la Changamoto ya Milenia (MCC) kuiondoa Tanzania katika orodha ya nchi zitakazonufaika na awamu ya pili ya misaada inayotolewa na […]
View ArticleUzalendo ni kutetea maamuzi ya umma, sio ya kidikteta
Kwa hili la Mfuko wa Ushirikiano kwa Changamoto za Mileni wa Marekani (MCC) na wahisani wengine kujitoa katika kuisaidia Jamhiri ya Muungano wa Tanzania, tusimtafute mchawi ni nani. Uchawi tumejifanyia...
View ArticleWanaodhani ushindi wa CUF utapatikana kwa vurugu wamekosea
Siku ya Jumamosi, tarehe 2 Aprili, 2016, Baraza Kuu la Uongozi la Taifa la Chama Cha Wananchi – CUF, lilifanya kikao chake cha kawaida cha siku mbili katika hoteli ya […]
View ArticleWasomi wetu na ukakasi wa mabadiliko
Baada ya kumsoma Prof. Issa Shivji katika makala iliyochapishwa hivi karibuni katika Gazeti la Raia Mwema, nimezidi kuthibitisha ile dhana kuwa Tanzania ina nakisi kubwa ya mchango wa Wanazuoni katika […]
View ArticleKwa nini tunataka Muungano wa Mkataba
Binaadamu wanapoungana au kufanya umoja wa aina yo yote huwa wanayo shabaha ya kuunda muungano au/na umoja huo. Vitendo vyao vyote huwa vina shabaha hiyo moja; yaani kusudi la kuunda […]
View ArticleMiaka 52 ya Muungano, mimi kama shahidi
Watanzania wanaadhimisha miaka 52 ya Muungano wao wa Tanganyika na Zanzibar. Hongera. Siku 104 nyuma kutoka sasa Watanzania pia waliadhimisha miaka 52 ya Mapinduzi ya Zanzibar. Namshukuru Mwenyezi...
View Article“Ikiwa gharama ya Muungano ni kuiua demokrasia Z’bar, basi hautapona”
Serikali ya Tanganyika inayojidai kwamba ndiyo ya Muungano imesimamia kuvunjwa kwa Katiba ya Zanzibar kwa kuiweka kwa nguvu Serikali haramu huko Zanzibar. Nasema hivi kwa sababu kulikuwa hakuna msingi...
View Article“Tanganyika inaidhibiti Zanzibar kijeshi na kisiasa”
“Kilele cha matumizi haya ya mabavu ya kijeshi ni Uchaguzi Mkuu wa mwaka jana, ambako vibaraka wa Tanganyika katika Zanzibar walikataliwa kabisa na wananchi wa Zanzibar katika Uchaguzi wa Rais, […]
View ArticleVituko vya bajeti ya SMZ
Nimeipitia bajeti ya Serikali ya Mapinduzi Zanzibar (SMZ) na kugundua kuwa haitekelezeki na kiini macho cha kiwango cha shahada ya uzamifu (PhD). Kwa haraka haraka nimebaini masuala yafuatayo: Kwanza,...
View Article