Kwa nini CCM inang’ang’ania Serikali 2?
Makamu Mwenyekiti mstaafu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Pius Msekwa, ametoboa siri ya chama hicho kung’ang’ania Muungano serikali mbili akisema hiyo ndiyo sera yake pekee iliyopitishwa na wanachama...
View ArticleDk. Salim hatagombea tena urais
Waziri Mkuu mstaafu, Dk Salim Ahmed Salim amesema hana mpango na hafikirii tena kuwania urais katika Uchaguzi Mkuu wa 2015. Akizungumza katika mahojiano maalumu na gazeti hili nyumbani kwake Masaki,...
View ArticleZitto: Wapambe wametufitini na Mbowe
Dar es Salaam. Mbunge wa Kigoma Kaskazini, Zitto Kabwe ameeleza tofauti yake na mwenyekiti wa Chadema, Freeman Mbowe, akisema imesababishwa na watu aliowaita wapambe. Zitto (37), ambaye alikuwa naibu...
View ArticleWaislamu Zanzibar watakiwa kutoa zaka.
Kukosekana kwa Utaratibu nzuri wa Utoaji na Usambazaji wa Zaka ni moja ya matatizo yanayopelekea Zanzibar kuendelea kuwa na Watu wanaoishi katika mazingira magumu na Umasikini uliopindukia. Mwenyekiti...
View ArticleCCM wafanya vurugu mkutano wa CUF
VIONGOZI wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), na wafuasi wao wanadaiwa kuvamia eneo la mkutano uliokuwa umeandaliwa na Chama cha Wananchi (CUF), eneo la Buguruni jijini Dar es Salaam kwa ajili ya mkutano wao...
View ArticleCCM wafurahia matokeo ya Scotland, Uingereza
Kushindwa kujitenga kwa Scotland kutoka himaya ya ufalme wa Uingereza, kumetoa somo kwa wanasiasa kwamba hawana haki ya kuwafanyia uamuzi wananchi. Akitoa maoni yake kuhusiana na matokeo ya kura...
View ArticleNahodha: Wanasiasa wanaweza kupoteza amani Zanzibar
Serikali ya Umoja wa Kitaifa iliyoundwa mwaka 2010 baada ya kufanyika Uchaguzi Mkuu imesaidia kumaliza uhasama, chuki, dharau na mambo mengine ambayo yaliwagawa Wazanzibari tangu ulipoingia mfumo wa...
View ArticleUhuru wa Disemba 10 ulimuondoa mkoloni, Mapinduzi yaliondosha ufalme
Zanzibar iliingia katika historia ya kupewa uhuru wake kutoka kwa Muingereza na serikali ya kwanza ikaundwa visiwani katika uongozi wa Waziri Mkuu Mohamed Shamte chini ya utawala wa kifalme. Nimepitia...
View ArticlePawe na katiba mpya ama la, umoja wa kitaifa lazima Z’bar
Safari yangu nyumbani Zanzibar ilikuwa ya muda mfupi tu – siku tano tu za wiki ya pili ya mwezi huu wa Februari 2015, lakini mafanikio yake yalikuwa ni makubwa panapohusika jicho la uchambuzi wa...
View ArticleSitta anapoonesha rangi yake halisi
Na Foum Kimara Tunaposema kuna maradhi ya woga wa mabadiliko au chuki tu za kuupandikiza Uarabu kama adui huwa hatukosei. Mwaka huu tutayaona na kuyasikia mengi hasa kwa upande wa Zanzibar. Tena...
View ArticleNi kweli Tanzania inawaogopa ‘Waarabu wa Zanzibar’?
Fitina nyengine inapandwa dhidi ya Wazanzibari na dhidi ya Zanzibar. Na mpandikizaji wa mara hii ni Samuel Sitta, waziri mwandamizi kwenye serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania mwenye dhamana ya...
View ArticleMauritius, Seychelles, Zanzibar na hadithi yenye ncha saba
Tuziangalie na tuzilinganishe nchi tatu – Seychelles, Mauritius na Zanzibar – ambazo zote ni visiwa vinavyoelea kwenye Bahari ya Hindi. Jamhuri ya Seychelles iko umbali wa kilomita 1,500 kutoka kusini...
View ArticleKama Uzanzibari ni kosa, basi lilikuwa la Nyerere
Licha ya mmoja wa waasisi wa Muungano wa Tanzania, Mwalimu Julius Nyerere, kunukuliwa mara kadhaa akisema kuwa ni yeye aliyependekeza wazo la mfumo uliopo sasa wa serikali mbili, huku mwenzake wa...
View ArticleKupaa, kutunguliwa na kupaa tena kwa Seif Shariff Hamad Zanzibar
JANUARI 1984, Halmashauri Kuu [NEC] ya Chama Cha Mapinduzi [CCM] iliyoketi kwa dharura mjini Dodoma, ilimvua Rais wa Awamu ya Pili wa Zanzibar, Sheikh Aboud Jumbe Mwinyi, nyadhifa zote za chama na...
View ArticleSTRAIGHT TALK: Leave us alone, Mr Minister!
The hatred that is being planted in the Zanzibar politics is growing by the day. Not only by Zanzibaris themselves and between them, but now the Mainlanders are also taking part and very dangerously...
View ArticleYa Selma na ya Zanzibar
Tarehe 7 Machi 1965, mamia ya Wamarekani weusi na weupe wenye msimamo wa haki sawa kwa raia wote wa taifa hilo walikusanyika kwenye kitongoji kiitwacho Selma katika jimbo la Alabama nchini Marekani kwa...
View ArticleMtawala anayeanguka huhisabu vifaru na mizinga
Wakati Rais Nicolae Ceauşescu wa Romania alipokuwa anakaribia kilele cha anguko lake, alimuita waziri wake wa ulinzi, Vasile Milea, kumtaka ampe tathmini ya kweli bila kumficha chochote juu ya nguvu...
View ArticleKila leo ina kesho
Jumanne ya leo tarehe 10 Machi 2015, mke wa aliyekuwa rais wa Ivory Coast, Laurent Gbagbo, ametiwa hatiani na mahakama ya nchi hiyo kwa makosa matatu – kuhujumu usalama wa nchi, kuchafua amani na...
View ArticleOthman Masoud atabakia daima kwenye rikodi
Aliyekuwa Mwanasheria Mkuu wa Zanzibar chini ya Serikali ya Umoja wa Kitaifa inayoongozwa na Dk. Ali Mohammed Shein atakumbukwa daima ndani na nje ya Zanzibar kwa mchango wake kwa ajenda ya Zanzibar...
View ArticleAjenda ya Zanzibar ndiyo ajenda ya Tanzania 2015 – I
Kuna mambo mawili matatu ya kuyaweka sawa kabla ya kuingia kwenye kiini cha mjadala wenyewe. Kwanza ni kujibu swali ambalo niliwahi kuulizwa kitambo, la ikiwa kweli kuna kitu kinachoitwa “ajenda ya...
View Article