Quantcast
Channel: SIASA – Zanzibar Daima
Viewing all 197 articles
Browse latest View live

Mshikamano hauletwi kwa risasi na mabomu

$
0
0
Haupo uwezekano wakupanda fitna kisha uvune wema au chuki na baadae uvune upendo. Utachokipanda ndicho utachokivuna. Hii husemwa kwamba ukipanda ubaya, utavuna ubaya. Suala la mshikamano limezungumzwa nakusisitizwa sana ndani […]

Balozi Seif, hivi leo ndio wapata uthubutu wa kukemea ubaguzi?

$
0
0
Katika pitapita yangu mtandaoni jioni ya tarehe 22 Mei 2016 nimekuta taarifa ya idhari kwenye ukurasa wa Facebook wa ITV. Ni taarifa ya Balozi Seif Ali Idd akiwatahadharisha wafanyakazi wa serikali kutothubutu kubagua wananchi […]

Kilichomtokea Dk. Shein mjini Moroni na fasili ya kisheria

$
0
0
Hivi majuzi, Dk. Ali Mohammed Shein alihudhuria sherehe za kuapishwa kwa rais wa visiwa vya Comoro zilizofanyika mjini Moroni. Habari zinasema alikwenda huko kumwakilisha Rais wa Jamhuri ya Muungano wa […]

Kessy, ni wabunge wa Tanganyika wapaswao kutoka kuunda bunge lao

$
0
0
Natafakari tu, kuhusiana na hoja ya Mh.  Ally Kessy kuwa Wabunge kutoka Zanzibar wasishiriki shughuli za Bunge pale yanapozungumzwa mambo yasiyo ya Muungano kama vile kilimo, utalii, afya n.k ; […]

KMKM Pemba, hamuviwezi vita dhidi ya mwanamke mwenye haki

$
0
0
Kwa muda wa wiki kadhaa sasa eneo la Mtambwe limekuwa na shida ya usafiri kwa njia ya bahari. Eneo hili ni mashuhuri kwa shughuli zake za utumiaji wa vyombo vya […]

U.S. Democracy Promotion in Africa: Why Zanzibar Matters

$
0
0
The U.S. government’s relationship with Tanzania took a hit this past year when national elections in October 2015 revealed a decidedly undemocratic streak in a country that U.S. officials had […]

Mwenye mizinga na mwenye umma, nani hasa mwenye nguvu?

$
0
0
Wiki hii imekuwa wiki ya Micheweni. Imesadifu kwamba watu wawili dhaifu kuitwa na kuhojiwa na mamlaka za dola kwa muda na maeneo tofauti. Ambapo siku ya Jumatano ya tarehe 8 […]

Vifaranga vya Zanzibar vyarudi nyumbani kupumzika

$
0
0
Septemba 16, 2001, siku tano tu baada ya shambulio la Septemba 11, 2001 kule Marekani, Mchungaji Jeremiah Wright, aliyewahi kuwa mchungaji wa raisi wa sasa wa Marekani, Barack Obama, alitoa […]

Ni hujuma au sanaa ya kujipiga mwenyewe ukalia?

$
0
0
Vuta picha kwamba uko usingizini ndani ya nyumba ambayo imeezekwa kwa makuti na tayari yana miaka kadhaa juu ya paa na, hivyo, yameshakauka na yameshaanza kupoteza uimara wake wa kuweza […]

Democracy deferred in Zanzibar

$
0
0
Thank you for the welcome and kind words. It is a pleasure to be back among old friends. The links between Zanzibar and the United States go back a long […]

Bunge lahitaji muafaka wa kitaifa

$
0
0
Licha ya Naibu Spika, Dkt. Tulia Akson, spika kuwatishia wabunge wa upinzani, ambao wamekuwa na kawaida ya kujisajili na baadaye kutoka kila siku ambayo bunge linaongozwa na yeye, inaonesha dhahiri […]

Je, mlango wa Ouattarra utakuwa wa Maalim Seif?

$
0
0
Ni miezi imepita tangu kufanyika kwa kile kiitwacho “Uchaguzi Mkuu wa Marudio” wa Machi 20 baada ya ule wa awali wa Oktoba 25 “kufutwa” na Mwenyekiti wa Tume ya Uchaguzi […]

Mazombi ya Zanzibar ni mfano wa ‘death squads’

$
0
0
Ripoti ya shirika la kimataifa la kutetea haki za binadamu la Amnesty International ya mwaka 1975-76 inaseama “vikosi vya usalama vya Argentina vilianza kutumia kile kiitwacho makundi ya mauaji (death squads) […]

La Lipumba na kitisho dhidi ya CUF

$
0
0
Historia ya maisha yangu kisiasa si refu kulingana na umri wangu wa miaka 43. Pamoja nakuzaliwa kwenye mazingira ambayo siasa hupikwa, ikatiwa nazi na hatimaye kuliwa au kukorogewa sukari na […]

Muungano lilikuwa kosa la kihistoria

$
0
0
Sioni dhiki kuandika wala kutamka kwa kinywa kipana kabisa bila ya chembe ya ukakasi kooni kuwa- muungano huu (Tanganyika na Zanzibar), ni kosa la kihistoria  kwa Zanzibar ambalo Sheikh Abeid […]

Brexit inatufunza nini Wazanzibari?

$
0
0
Mambo yote yanayotengenezwa na binaadamu duniani yana uwezekano wa kuvunjwa. Imekuwa hivyo kwa sababu mwanaandamu ana mipaka katika kufikiri kwake na ana khiyari katika kuamua kwake. Kwa sababu mbili hizi, […]

Mgimwa, kwa nini hukuyasema hayo bungeni?

$
0
0
Tume ya Jaji Francis Nyalali ilipanga ratiba ya kutolewa kwa elimu ya uraia kwa miezi 18 ndipo tuingie kwenye mfumo wa vyama vingi. Hii nadhani ingesaidia kuondoa maafa na dosari […]

Mkataa ya Musa humpata ya Firauni

$
0
0
Waswahili hutumia misemo na methali nyingi na kwa mengi katika maisha yao ya siku kwa siku. Miongoni mwa matumizi ya utanzu huu wa fasihi ni kutoa tahadhari juu ya jambo […]

Mshikamano hauletwi kwa risasi na mabomu

$
0
0
Haupo uwezekano wakupanda fitna kisha uvune wema au chuki na baadae uvune upendo. Utachokipanda ndicho utachokivuna. Hii husemwa kwamba ukipanda ubaya, utavuna ubaya. Suala la mshikamano limezungumzwa nakusisitizwa sana ndani […]

Balozi Seif, hivi leo ndio wapata uthubutu wa kukemea ubaguzi?

$
0
0
Katika pitapita yangu mtandaoni jioni ya tarehe 22 Mei 2016 nimekuta taarifa ya idhari kwenye ukurasa wa Facebook wa ITV. Ni taarifa ya Balozi Seif Ali Idd akiwatahadharisha wafanyakazi wa serikali kutothubutu kubagua wananchi […]
Viewing all 197 articles
Browse latest View live