Historia inaonesha kuwa vipindi fulani katika mustakabali wa nchi unalazimisha kupima nini ni janga zaidi ya jingine. Marehemu Samora Machel na Frelimo walikubali kutia saini Mkataba wa Nkomati wa ushirikiano na makaburu kama mkakati wa kujinusuru na kutoa nafasi kukabili janga kubwa kuliko zote wakati huo la kuondolewa serikali ya Frelimo na Renamo ikisaidiwa na […]
↧