Quantcast
Channel: SIASA – Zanzibar Daima
Viewing all articles
Browse latest Browse all 197

CCM mpigo ni uleule, nje na ndani ya chama

$
0
0
KUNA moja tu litaloweza kukinusuru Chama cha Mapinduzi (CCM) kisiporomoke katika Uchaguzi Mkuu ujao: upinzani uliogawika na unaopigana wenyewe kwa wenyewe badala ya kujumlisha nguvu zao pamoja dhidi ya hasimu yao mkuu. Kuna uwezekano mkubwa kwamba kisipojiangalia na kujirudi kwa haraka, CCM kinaweza hata kikapasuka na kugawika. Ni upinzani ulio dhaifu usiosimama kama kitu kimoja […]

Viewing all articles
Browse latest Browse all 197

Trending Articles