Quantcast
Channel: SIASA – Zanzibar Daima
Viewing all articles
Browse latest Browse all 197

CCM wapenda namba lakini hawajui hesabu

$
0
0
Leo tuongee uchumi kidogo. Kuna watu wanapenda namba lakini hawajui hesabu. Kama na wewe ni mmoja wao, tafadhali usisome makala hii. Wabunge wengi na mawaziri wa Chama cha Mapinduzi (CCM) ni wagonjwa wa namba. Wanapenda namba lakini hawajui hesabu. Kwa kuwa viongozi wako hivyo, wamewaambukiza hata na wananchi wa kawaida, wakiwemo hata wale wanaoitwa kuwa […]

Viewing all articles
Browse latest Browse all 197

Latest Images

Trending Articles