Ushabiki unaoendelea kufanywa na wengi wetu kwa makeke yaliyoonyeshwa siku za karibuni na Rais mpya wa Tanzania Pombe Magufuli ni wa kuangalia upande mmoja tu wa sarafu. Lakini kwa maoni yangu upande wa pili wa sarafu hiyo unathibitisha maneno ya JK alompa Magufuli jina la TINGATINGA yaani utumiaji nguvu tu wa kusomba chochote kilichoko mbele, kiwe kibaya au kizuri na chenye faida au madhara. Magufuli …
↧