Quantcast
Browsing all 197 articles
Browse latest View live

Kilichomtokea Dk. Shein mjini Moroni na fasili ya kisheria

Hivi majuzi, Dk. Ali Mohammed Shein alihudhuria sherehe za kuapishwa kwa rais wa visiwa vya Comoro zilizofanyika mjini Moroni. Habari zinasema alikwenda huko kumwakilisha Rais wa Jamhuri ya Muungano wa...

View Article


Kessy, ni wabunge wa Tanganyika wapaswao kutoka kuunda bunge lao

Natafakari tu, kuhusiana na hoja ya Mh.  Ally Kessy kuwa Wabunge kutoka Zanzibar wasishiriki shughuli za Bunge pale yanapozungumzwa mambo yasiyo ya Muungano kama vile kilimo, utalii, afya n.k ; […]

View Article


KMKM Pemba, hamuviwezi vita dhidi ya mwanamke mwenye haki

Kwa muda wa wiki kadhaa sasa eneo la Mtambwe limekuwa na shida ya usafiri kwa njia ya bahari. Eneo hili ni mashuhuri kwa shughuli zake za utumiaji wa vyombo vya […]

View Article

U.S. Democracy Promotion in Africa: Why Zanzibar Matters

The U.S. government’s relationship with Tanzania took a hit this past year when national elections in October 2015 revealed a decidedly undemocratic streak in a country that U.S. officials had […]

View Article

Mwenye mizinga na mwenye umma, nani hasa mwenye nguvu?

Wiki hii imekuwa wiki ya Micheweni. Imesadifu kwamba watu wawili dhaifu kuitwa na kuhojiwa na mamlaka za dola kwa muda na maeneo tofauti. Ambapo siku ya Jumatano ya tarehe 8 […]

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

“Tanganyika inaidhibiti Zanzibar kijeshi na kisiasa”

“Kilele cha matumizi haya ya mabavu ya kijeshi ni Uchaguzi Mkuu wa mwaka jana, ambako vibaraka wa Tanganyika katika Zanzibar walikataliwa kabisa na wananchi wa Zanzibar katika Uchaguzi wa Rais,...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Vituko vya bajeti ya SMZ

Nimeipitia bajeti ya Serikali ya Mapinduzi Zanzibar (SMZ) na kugundua kuwa haitekelezeki na kiini macho cha kiwango cha shahada ya uzamifu (PhD). Kwa haraka haraka nimebaini masuala yafuatayo: Kwanza,...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

TUNDU LISSU: Mpambanaji aliyeuanza uwanaharakati utotoni

  JUNI 3, mwaka huu, Mwandishi Wetu, Godfrey Dilunga, alifanya mahojiano kuhusu masuala mbalimbali na Mbunge wa Singida Mashariki (CHADEMA) ambaye pia ni mwanaharakati wa haki za binadamu, Tundu Lissu,...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Je, kifo cha Jumbe chaweza kututanabahisha Wazanzibari?

Mzee Aboud Jumbe Mwinyi, aliyewahi kuwa rais wa Zanzibar, makamu rais wa Tanzania, makamu mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM) na – kubwa kuliko yote – kiongozi aliyefunguwa milango ya demokrasia...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

La mkono wa Maalim Seif na uhalisia wa hisia

Hisia ni kitu ambacho kila kiumbehai anacho kutegemea na hukionesha kulingana na mazingira husika. Tafsiri ya hisia hizo ni za aina mbili – chanya na hasi – kama vile ambavyo kinachozipelekea hisia...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Doyo tumekusikia, tunakuhifadhia

Kuna mambo ambayo hatupaswi kuacha yapite hivi hivi pasi kuyajadili kutokana na uzito wa kile kilichojiri au mwenye kukiwasilisha kwa hadhira aliyoikusudia. Uzito wa hili la leo upo pande zote – wa...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Lipumba na la kuvunda

Hufika muda tunalazimika kukubali matokeo. Inawezekana kuikubali hali hiyo kwa shingo upande au maumivu makali yasiyomithilika. Hata hivyo, maumivu na sononeko hilo haliondowi uhalisia wa mambo. Kwamba...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Sababu tatu za CUF kupigwa vita na dola

Nimeichukuwa tena na kuisoma kwa makini zaidi taarifa ya wabunge wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa tiketi ya Chama cha Wananchi (CUF) ya tarehe 15 Septemba 2016 iliyotolewa mbele ya...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

CCM Zanzibar yapigana vita vya utengano dhidi ya maridhiano

Historia ya Zanzibar itamkumbuka Amani Abeid Karume kama mmoja wa viongozi waliopigania maridhiano, umoja na demokrasia visiwani humo. Katika kitabu chake Conversation with Myself (Mazungumzo na Nafsi...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

“Kimya cha dunia kwa haki ya Wazanzibari chaogofya”

Ukimya wa jumuiya ya kimataifa juu ya suala la uchaguzi mkuu wa mwaka 2015 kwa upande wa Zanzibar kimeanza kuwainua wasomi na wananchi wa kawaida wakihoji dhamira yake. Uchaguzi huo uliofutwa kinyume...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Nyerere alivyomtetea Karume Accra

KATIKA mwezi wa Machi hali ya hewa jijini Accra, Ghana, huwa inaudhi bila ya kiasi kwa joto linavyokuwa kali. Jioni ndipo huzidi kushtadi. Nadra mvua kunyesha. Siku moja Machi 1958, saa za Magharibi,...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Mitizamo miwili ya Nyerere juu ya Israel

WIKI iliyopita niliandika kuhusu mazungumzo waliyokuwa nayo viongozi wawili wa kizalendo wa Kiafrika jijini Accra, Ghana Machi 1958. Viongozi wenyewe walikuwa Mwalimu Julius Nyerere na Sheikh Ali...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Hivi Magufuli autaka kweli Muungano?

Ni jambo la kawaida viongozi wetu kula viapo vya kuulinda Mungano wa Zanzibar na Tanganyika na huyu Rais John Pombe Magufuli viapo vyake huwa vikali zaidi kwa sababu ya khulka yake ya kujifanya si mtu...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Ulipumba unadumaza demokrasia

KATIKA siasa za Tanzania kuna kupakaziana kwa kila aina, walio madarakani huwakazia wa upande ule wanaoitwa wapinzani. Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) kiliitwa chama cha Wachaga kwa sababu...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

La mchanga na uovyo wa Muhongo

Rais wa nchi aliyechaguliwa kidemokrasia hawezi kukubalika kwa watu wote anaowaongoza,  ni lazima uwepo upinzani toka upande wa pili. Ikitokea rais akakubalika kwa watu wote kitu demokrasia kitakuwa...

View Article
Browsing all 197 articles
Browse latest View live