KATIKA mazingira ya ukinzani wa kisiasa, kila unapotokea uchaguzi, ukweli huwa unatumika kwa nadra sana, na kila upande unaohusika katika ukinzani huo hujijengea dhana yake ya hicho unachokiita ukweli, lakini ambacho kinaweza kuwa mbali kabisa na ukweli halisia. Wanafalsafa wa kale walinena kwamba inapofumuka vita katika mazingira yoyote yale, huwa kunatokea waathirika kadhaa, lakini mwathirika wa awali katika vita yoyote huwa ni ukweli. Hii ni …
↧