Quantcast
Channel: SIASA – Zanzibar Daima
Viewing all articles
Browse latest Browse all 197

Pinda kapinda lakini Pandu kapindua

$
0
0
LICHA ya sifa lukuki tulizonazo, na ambazo mimi kama Mzanzibari najifaharisha nazo, Wazanzibari tuna udhaifu wetu wa kibinaadamu. Hatupendi kuambiwa ukweli. Kama walivyo wengine, tukiambiwa ukweli mchungu, huja juu kama moto wa kifuu. Na hili hasa huja katika masuala ya siasa za Uzanzibari. Nakusudia inapoguswa hadhi, heshima na kile tunachoamini kuwa ni utaifa wa Zanzibar. … Continue reading Pinda kapinda lakini Pandu kapindua

Viewing all articles
Browse latest Browse all 197

Latest Images

Trending Articles